У нас вы можете посмотреть бесплатно HAPA NDIPO HAYATI BENJAMIN MKAPA ALIKAA KUSALI/NDOTO ZA UPADRI/SADAKA ZAKE KUKARABATI NYUMBA HII.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MwanaHALISI TV ilitubidi kuanza kulenga madaraja na kuzimaliza Km zaidi ya 600 kutoka Dar es Salaam hadi Wilayani Masasi mkoani Mtwara, kisha kusafiri tena Km zaidi ya 30 kuelekea kusini mwa Masasi ili kukifikia kijiji cha Lupaso ambapo ndipo Hayati Benjamin William Mkapa alipozaliwa na kusoma elimu yake ya msingi ili kujua zaidi upande wa pili wa sarafu kumhusu. Msukumo wa safari yetu ukaongezewa nguvu na tamko la Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es Salaam Yuda Lwaichi lililotolewa siku ya Jumapili ya tarehe 26 Julai mwaka 2020 ikiwa ni siku ya kwanza ya ibada ya kumuaga Hayati Benjamin Mkapa kati ya siku tatu zilizotangazwa kutumika na watanzania kumuaga mpendwa rais huyo. Katika ibada hiyo Askofu Lwaichi alitangaza kuwa fedha zitakazopatikana katika sadaka ya siku hiyo zitaelekezwa katika ujenzi wa nyumba ya mapadri iliyopo kijiji cha Lupaso kama sehemu ya kumuenzi ambapo. inaelezwa kabla ya umauti kumkuta Hayati Benjamin alitamani zaidi kuliendeleza jengo hilo..Fuatilia zaidi kufahamu.