У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI MKUU ATEMA CHECHE KATAVI | AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MIJI 28 MPANDA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KATAVI: WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji wa miji 28 wenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 22 unaotekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mpanda (MUWASA) kwa kushirikiana na serikali ya India, uliopo Kata ya Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Mradi huo unatarajia kuondoa changamoto ya maji kwa wakazi wa Manispaa ya mpanda huku wananchi wa eneo hilo wakiomba serikali kusimamia kikamilifu ili mradi huo ukamilike kwa wakati na kuwaondolea adha ya kufuata maji umbali mrefu na changamoto ya kutopata maji kila siku. Akizungumza mara baada ya kuweka jiwe la msingi Dk. Mwigulu amewataka wasimamizi wa mradi huo kukamilisha kwa muda uliopangwa. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09