У нас вы можете посмотреть бесплатно EPISODE 11: TUNDU LISSU AWAOMBA MAJAJI WAMUACHIE KWA DHAMANA WAMEGOMA , NI UCHUNGU KILICHOTIKEA LEO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu lissu imeendelea Leo katika mahakama kuu Masjala ndogo ya dar es salaam. Upande wa Jamhuri wameshindwa Kumleta shahidi namba 4 kutokana na shahidi kuwepo nje ya mkoa wa Dar es salaam na kuomba kesi ihairishwe. Katika Kujibu Mh tundu lissu akaweka pingamizi na kuiomba mahakama awalazimishe upande wa serikali kuleta shahidi na kama haitawezekana apatiwe dhamana. Jaji amekataa ombi la tundu lissu na kukubali ombi la upande wa jamhuri na kuhairisha kesi hadi tarehe 3 mwezi November 2025. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi #mahakamani #tundulissu