У нас вы можете посмотреть бесплатно CHADEMA, POLISI WALIVYOTUNISHIANA MISULI MBARALI, RPC KUZAGA AKANA KUZUIA MKUTANO WA HECHE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbeya. Mkutano wa Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche uliokuwa ufanyike Kata ya Mabadaga Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya umeshindwa kufanyika baada ya kudaiwa kuzuiwa na Jeshi la Polisi. Hata hivyo Jeshi hilo limefafanua kuwa mkutano na vikao vya chama hicho havikuwatolewa taarifa kama taratibu zinavyoelekeza. Heche pamoja na viongozi wengine chini ya Mwenyekiti wake Taifa, Tundu Lissu wapo Kanda ya Nyasa kwa ajili ya mikutano ya hadhara na kuzungumza na wafuasi wao.