У нас вы можете посмотреть бесплатно UJENZI WA KAMPASI YA UDOM NJOMBE WAENDELEA KWA KASI CHINI YA MKANDARASI MZAWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ujenzi wa majengo ya Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika Mkoa wa Njombe unaendelea kwa kasi chini ya usimamizi wa mkandarasi mzawa kutoka Kampuni ya Dimetoclasa Realhope Limited. Mradi huo ni sehemu ya juhudi za serikali kupeleka elimu ya juu karibu na wananchi na kuinua maendeleo ya elimu na uchumi katika mikoa ya pembezoni. Kampuni ya Dimetoclasa Realhope Limited imepewa jukumu la kuhakikisha majengo yanakamilika kwa viwango na kwa muda uliopangwa,Kukamilika kwa kampasi hiyo kutarahisisha upatikanaji wa elimu ya juu mkoani Njombe na kuchochea fursa za kiuchumi katika maeneo yanayozunguka chuo.