У нас вы можете посмотреть бесплатно GARI KIBOKO ya MAFURIKO na MVUA - TRENI ya ANGANI ni MUENDELEZO wa MAAJABU ya CHINA KITEKNOLOJIA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
GARI KIBOKO ya MAFURIKO na MVUA - TRENI ya ANGANI ni MUENDELEZO wa MAAJABU ya CHINA KITEKNOLOJIA... China, taifa linalojulikana kwa kasi ya maendeleo ya teknolojia, limepiga hatua za ajabu kwenye sekta ya magari na mashine za usafiri. Kutoka magari ya kifahari hadi mfumo wa usafiri wa reli wa kisasa na wa kizazi kipya, juhudi zao si tu zinashindana kimataifa, bali pia zinafungua njia mpya za usafiri endelevu. Hebu tuchunguze mifano miwili bora: gari la kifahari BYD Yangwang U8 lenye uwezo wa kuelea kwenye mafuriko bila kuharibika na mfumo wa reli wa Sky Train ambao unatumia Sumaku badala ya umeme, ambao kwetu umeme tunaona ndiyo teknolojia mpya! JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO https://chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg... ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx