У нас вы можете посмотреть бесплатно MKASA WA GLADNESS (MPYA) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#simulizi #simulizizakweli #mahusiano #love #film Jina langu naitwa Gladness ni mzaliwa wa Arusha.Historia ya maisha yangu na mume wangu yalianzia pale tulipoanza kuwa na mahusiano toka kidato cha kwanza huko mkoani Arusha.Mapenzi yetu yalianzia shuleni mimi na yeye toka tukiwa kidato cha kwanza hadi cha nne. Kiukweli mimi na yeye tulikua na bidii sana shuleni kwani tuliweza kuvuka mtihani wa kidato cha pili na kufaulu vizuri na yeye pia.Hatimaye tuliingia kidato cha tatu mimi na yeye.Brayan kama alivyojulikana na mie gladness tulikua tunapendana sana na pia tulikua tukiabudu kanisa moja mimi na yeye na alikua mtu wa maombi shuleni sana mimi na yeye bila kuwa na makuu yoyote na alikua kijana mwenye busara sana.Na wote niliitokea familia masikini sana huku yeye wazazi wake wakiwa angalau wana maisha mazuri na kipato kizuri tu kwani kwa kipindi kile waliweza kuwa na nyumba ya kisasa, umeme na maji na pia kuweza kumudu kula vizuri kila siku na mimi nikiishi na bibi yangu kwani wazazi wangu walikwishafariki nilikua yatima Kutokana na maisha yalivyokua magumu,nilitamani sana nije nitimize ndoto zangu za kufika mbali na nilikua nasomeshwa kwa ufadhili tu wa watu. Content Disclaimer: The information provided in this video is for general informational and educational purposes only. The content reflects personal experiences, aiming to provide education through real-life stories about life, relationships, education, work, and everyday social interactions. #love#moviesswahili#simuliz#mtungisimulizi