• ClipSaver
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Mazito Yaibuka Ripoti Ya Wafanyabiashara Wa Kigeni Kariakoo: 'Wako Waliopiga Simu Kuzuia Uchunguzi' скачать в хорошем качестве

Mazito Yaibuka Ripoti Ya Wafanyabiashara Wa Kigeni Kariakoo: 'Wako Waliopiga Simu Kuzuia Uchunguzi' 2 months ago

#TheChanzo

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mazito Yaibuka Ripoti Ya Wafanyabiashara Wa Kigeni Kariakoo: 'Wako Waliopiga Simu Kuzuia Uchunguzi'
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Mazito Yaibuka Ripoti Ya Wafanyabiashara Wa Kigeni Kariakoo: 'Wako Waliopiga Simu Kuzuia Uchunguzi' в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Mazito Yaibuka Ripoti Ya Wafanyabiashara Wa Kigeni Kariakoo: 'Wako Waliopiga Simu Kuzuia Uchunguzi' или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Mazito Yaibuka Ripoti Ya Wafanyabiashara Wa Kigeni Kariakoo: 'Wako Waliopiga Simu Kuzuia Uchunguzi' в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Mazito Yaibuka Ripoti Ya Wafanyabiashara Wa Kigeni Kariakoo: 'Wako Waliopiga Simu Kuzuia Uchunguzi'

Kamati maalum iliyohusika na kuchunguza suala la wageni kufanya biashara zinazotakiwa kufanywa na wazawa Kariakoo. Kamati hiyo imewasilisha ripoti hiyo Machi 17, 2025, kwa Waziri wa Viwanda na Biashara. Mazito yaliyoibuliwa na kamati ni pamoja na: 🔴Kati ya makampuni 9,380 yaliyosajiliwa Brela ni asilimia 9.2 ambazo wamesajiliwa kwenye kituo cha uwekezaji, 'hali hii inaashiria uwepo wa mianya inayoruhusu wageni kusajiliwa kampuni na kufanya biashara zinazodhaniwa kupaswa kufanywa na wazawa bila ufuatiliaji wa kutosha,' Kamati. 🔴Wageni wanauza bidhaa kwa bei ya chini ya soko hivyo kupunguza uwezo wa wazawa kuhimili ushindani 🔴Wageni wanawaondoa wazawa katika maeneo ya biashara waliyopangisha kwa kulipa kodi kubwa, na kwa kutumia malipo ya ziada yanayojulikana kama kilemba 🔴Wageni kumiliki mnyororo wote wa thamani toka mzigo unapoagizwa mpaka kufika kwa mlaji: Wanaagiza mizigo, na kuitoa bandarini kupitia kampuni za kigeni na kusafirisha kupitia kampuni za kigeni. 🔴NIDA za watumishi wa kitanzania wa makampuni ya wageni kutumika kufungua makampuni, huku Watanzania wakionekana kuwa wamiliki wakati ni wafanyakazi tu. 🔴Kampuni kadhaa za wageni zinafanya kazi mtandaoni bila usajili wala leseni, maduka yote 29 yanayofanya kazi mtandaoni yaliyoangaliwa na kamati hayakua na leseni. Kati ya majukwaa 14 ya mtandaoni, 12 hayakuwa na leseni. 🔴Kamati ilivyoenda kununua bidhaa katika maduka kumi wakati wa uchunguzi, 8 hayakutoa risiti, katika wawili waliotoa risiti, mmoja alitoa ya kughushi. 🔴Wafanyabiashara wengi wa kigeni Kariakoo hawatumii benki, wanafanya malipo kwa kubadilishana bidhaa kati yao. 🔴Katika maduka 75 yaliyotembelewa na kamati Kariakoo, ilibainika kuwa maduka hayo yameajiri wageni 152, ambapo wageni 148 wanauza bidhaa za rejareja. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER:   / thechanzo   INSTAGRAM:   / thechanzo   FACEBOOK:   / thechanzo   TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.

Comments
  • Mashambulizi makali ya Urusi yaendelea Ukraine, katika Dira ya Dunia TV Streamed 2 months ago
    Mashambulizi makali ya Urusi yaendelea Ukraine, katika Dira ya Dunia TV
    Опубликовано: Streamed 2 months ago
    18117
  • MAKALA || Hii ndio historia usiyoijua kuhusu Kariakoo na Soko kuu la Kariakoo 1 year ago
    MAKALA || Hii ndio historia usiyoijua kuhusu Kariakoo na Soko kuu la Kariakoo
    Опубликовано: 1 year ago
    1376
  • 🔴#UkaguziLIVE: Toleo Maalum la Mwananchi - Mara | Mei 16, 2025 Streamed 4 weeks ago
    🔴#UkaguziLIVE: Toleo Maalum la Mwananchi - Mara | Mei 16, 2025
    Опубликовано: Streamed 4 weeks ago
    309
  • CHADEMA Kuanza Mikutano ya Hadhara Kupigania 'No Reforms No Election 2 months ago
    CHADEMA Kuanza Mikutano ya Hadhara Kupigania 'No Reforms No Election" Ni Kuanzia Machi 23, 2025
    Опубликовано: 2 months ago
    8366
  • Wachina Wamefikaje Kariakoo? 1 month ago
    Wachina Wamefikaje Kariakoo?
    Опубликовано: 1 month ago
    5339
  • SHOWDOWN AS LAWYER DANSTAN OMARI CORNERS IPOA OFFICER WITH QUESTIONS OVER JAMES MUKHWANA'S DETENTION 1 day ago
    SHOWDOWN AS LAWYER DANSTAN OMARI CORNERS IPOA OFFICER WITH QUESTIONS OVER JAMES MUKHWANA'S DETENTION
    Опубликовано: 1 day ago
    158850
  • Sugu na sakata la Ulimboka bungeni. 12 years ago
    Sugu na sakata la Ulimboka bungeni.
    Опубликовано: 12 years ago
    177776
  • Самый сложный вопрос на свете: Почему Мы здесь? Почему Аллах создал Нас и Вселенную? Dr. Zakir Naik 3 weeks ago
    Самый сложный вопрос на свете: Почему Мы здесь? Почему Аллах создал Нас и Вселенную? Dr. Zakir Naik
    Опубликовано: 3 weeks ago
    233636
  • ‘Kuna wabunge wanakaa hapa wanashindwa kuiambia serikali ukweli’-Halima Mdee 8 years ago
    ‘Kuna wabunge wanakaa hapa wanashindwa kuiambia serikali ukweli’-Halima Mdee
    Опубликовано: 8 years ago
    113403
  • КОНСЕРТ: БАЗМИ МАСХАРАБОЗОН - БАХШИДИ БА ИДИ НАВРУЗ (қисми 1) 6 days ago
    КОНСЕРТ: БАЗМИ МАСХАРАБОЗОН - БАХШИДИ БА ИДИ НАВРУЗ (қисми 1)
    Опубликовано: 6 days ago
    113587

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5