У нас вы можете посмотреть бесплатно #TAZAMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Jimbo la Rorya Jafari Chege amefika katika soko kuu la obwere katika mji wa shirati wilaya ya Rorya na kuongea na wafanyabiashara wa soko hilo pamoja na ukanguzi wa eneo ambalo ujenzi wa soko utafanyika. pia amehaidi ujenzi wa barabara ya lami kutoka utegi mpaka shirati,kirongwe border na sota bandarini utakamilika kabla ya mwaka 2025 ili kuweza kuimarisha uchumi katika wilaya ya Rorya Naye Diwani wa kata ya mkoma Musa sonde anatoa ahadi ya kuwatendea wema kina mama, vijana na wazee. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09