У нас вы можете посмотреть бесплатно DC TANGA ATEMBELEA MIUNDOMBINU YA TANGA UWASA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Dadi Kolimba ametembelea miundombinu ya kihuduma ya TangaUWASA inayohusisha Bwawa la kuhifadhi maji la Mabayani na Mtambo wa kutibu na kuzalisha maji wa Mowe pamoja na kujionea maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa kuboresha Hali ya upatikanaji huduma ya maji Tanga awamu ya tatu kupitia ufadhili wa Hatifungani ya Kijani. Katika ziara hiyo Mkuu wa Wilaya ya Tanga aliambatana na kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ambapo ameipongeza TangaUWASA kwa maendeleo mazuri ya utekelezaji wa mradi wa Hatifungani na kusisitiza ukamilishaji wa mradi huo kwa wakati na kwa ufanisi ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma ya uhakika.