У нас вы можете посмотреть бесплатно TAZAMA RAIS MAGUFULI ALIVYO MPIGIA SIMU WAZIRI KALEMANI NA KUMPA MAAGIZO HAYA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mgombea Urais kupitia CCM Dk John Magufuli amemuagiza Waziri wa Nishati Dk Merdad Kalemani kuwafikishia nishati ya umeme wateja zaidi ya 4,000 wa Mjini Babati Mkoani Manyara waliolipia huduma hiyo. Dk Magufuli ametoa agizo hilo Mjini Babati wakati akizungumza kwa njia ya simu na Waziri Kalemani. Amemuagiza Waziri Kalemani ahakikishe ndani ya mwezi mmoja wananchi hao ambao kila mmoja ameshalipia sh27,000 wawe wamefanikiwa kufungiwa umeme majumbani mwao. Amemtaka Waziri Kalemani awasiliane na Waziri wa Fedha Dk Philip Mpango ili apatiwe fedha sh1 bilioni za kufanikisha ufikishwaji wa nishati hiyo. Hata hivyo, Waziri Kalemani amemuahidi Rais Magufuli kuanza kazi mara moja ili wananchi hao wapate nishati ya umeme. Awali, meneja wa Tanesco mkoani Manyara amesema changamoto ya fedha sh1 bilioni ndiyo imesababisha wananchi hao kushindwa kufungiwa umeme. Amesema wananchi hao wameshindwa kufungiwa umeme huo kutokana na ukosefu wa nguzo za umeme. Mbunge mteule wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul akizungumza Wakati akimuombea kura Dk Magufuli na madiwani alimshukuru kwa kutatua kero hiyo.