У нас вы можете посмотреть бесплатно Kenya na Ghana kuchunguza Mrusi kuhusu video za siri za wanawake. Katika Dira ya Dunia TV или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali ya Kenya imesema inachunguza matukio yanayomhusu mwanaume mmoja raia wa Urusi anayeshutumiwa kwa kurekodi matukio yake ya kimapenzi na wanawake kadhaa, na kisha kuweka video hizo mtandaoni bila wao kuridhia. Waziri wa jinsia Hanna Cheptumo ametaja tukio hilo kama la kufedhesha na ukiukwaji mkubwa wa usiri na haki ambazo zimelindwa kisheria. #Kenya #bbcswahili #bbcswahilileo #Urusi #Videozasiri Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili