У нас вы можете посмотреть бесплатно Fahamu gawio (dividend) la bank ya crdb mwaka 2024 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Fahamu gawio (dividend) la bank ya crdb mwaka 2024 Wadau wengi wemekuwa wanataka kufahamu jinsi ya kuwekeza kwa kununua hisa za DSE Zaidi ya hapo, wanapenda kufahamu jinsi ya kupata faida kupitia ununuzi wa hisa katika soko la DSE Kupitia vipindi vilivyo pita nimeeleza kuwa moja ya njia ya kupata faida ni kununua hisa za makampuni ambayo yanalipa gawio (dividend) kubwa Kipindi hiki cha Dira ya Ujasiriamali nitaeleza gawio ambalo limelipwa na Bank ya CRDB kwa mwaka uilio malizika 31 December 2024 Video hii imetayarishwa na Tan Business Channel ambayo inahusika na kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vijana Tan Business Channel inatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television 1. Kupata eBooks wasiliana kupitia Whatsapp 0716 682 439 2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... 3. Website yetu: www.tanbusiness.co.tz 4. Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #dse #sokolahisa #sokolahisadar #alimwambola #tuongeebiashara #ujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali