У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi thamani za hisa za CRDB Bank zilivokuwa mwaka 2025! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu wengi wanasema kuwekeza kwenye soko la hisa ni mchezo wa matajiri tu, au ni kama kucheza kamari ambapo unaweza kupoteza kila kitu. Mimi naona wamekosea. Leo nitakuthibitishia kwamba kwa kufanya maamuzi sahihi ya kuwekeza kwenye soko la hisa, hata kiasi kidogo cha pesa kinaweza kukupa faida kwenye soko la hisa. Mwaka 2025 ulikuwa mwaka wa kipekee sana kwa wanahisa wa Benki ya CRDB kwenye soko la hisa. Tutachambua jinsi ambavyo thamani ya hisa hizi ilivyopaa kwenye soko la hisa kutoka shilingi mia nane hadi kuvuka shilingi elfu moja na mia tano How to Start Business Channel ipo kwa ajili ya kutoa elimu ya kuanzisha biashara kwa vijana ambao wamemaliza masomo na wanataka kujiajiri. Msisitizo wa elimu uko kwenye mambo muhimu ya kutekeleza, kama unataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ambayo itakuwa endelevu. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs