У нас вы можете посмотреть бесплатно Maisha ya kibabe ya O-TEN Morogoro nje ya Bongo Fleva, Awachana makavu HARMONIZE & DIAMOND PLATNUMZ или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Alitamba na nyimbo nyingi kali, ikiwamo wa Mimi, kisha akafanya kolabo na wakali wa wakati huo, Chid Benz (Nakaza Roho) na baadae Afande Sele (Tusahau), O-TEN mkongwe wa mashahiri ambaye maisha yake mjini Morogoro yako hivi. Ilitulazimu kuacha kila kitu na kumsaka kwenye 'chimbo' zake zote mjini Morogoro kutokana na mfumo wa maisha aliyojichagulia mwanamuziki huyo ambaye nyimbo zake zilikuwa burudani masikioni mwa mashabiki wake miaka ya 2000. Mwanamuziki huyo ambaye baba yake alikuwa injinia, anasema alianza kujifunza kuimba akiwa Afrika Kusini, ambako alipelekwa mara baada ya kuzaliwa hapa nchini ili akaishi na baba yake aliyekuwa huko kikazi. O-TEN amekuwa kimya kwa muda mrefu, tangu 2015 alipoachia wimbo wa Dozee na 2017 video ya Komaa nao ambazo alishirikishwa hajaonekana tena kwenye ulingo wa muziki, ingawa mwenyewe anasema kwake ni kazi kazi. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama