У нас вы можете посмотреть бесплатно Tutawakumbuka wimbo wakihistoria Tanzania 🇹🇿 (ANIMATION VIDEO 1080P) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
🇹🇿🇹🇿Huu ni wimbo wakihistoria, unatukumbusha tukio iliyo sababisha mahafa, majonzi kwakuwapoteza ndugu zetu watanzania walio tangulia mbele za haki wakati wa maandamano ya tarehe OKTOBA 29. Tuusikilize kwa moyo wa dua, kuwaombea walio tangulia mbele za haki walale mahala pema peponi, Mwenye Mungu apate kuzipokea nakuzihifadhi Roho za hao wapendwa Wetu walio tangulia, Mungu aibariki Tanzania, na aiepushe milele na tukio kahio ya 29 OKTOBA. Isipate nafasi tena katika taifa letu. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 NIITENI "NEW AFRIKAR" @oktoba29 @ITVTanzaniaTz @Wasafi_Media @wananchii @NeyWamitego.@udaku254kenya