• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito? скачать в хорошем качестве

Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito? 4 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito?
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito? в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito? в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito?

Je ni kweli kwamba unaweza kupata Hedhi katika kipindi cha Ujauzito? Hapana! Ukweli ni kwamba mara baada ya kupata Ujauzito au Mimba huwezi kupata Hedhi, Baadhi ya Wajawazito hususani wale ambao hupata Mimba kwa Mara ya Kwanza (Prime gravida) huweza kuchanganya wanapotokwa na Damu mwanzoni mwa Ujauzito na Hedhi yao! Tafiti zinaonesha kwamba asilimia 10 mpaka 15 ya Wajawazito huweza kupata Dalili za kutokwa na Damu katika Ujauzito wao hususani Mimba inapokuwa chini ya wiki 16 au chini ya Miezi 4 ya Ujauzito. Kutokwa na Damu katika kipindi cha Ujauzito huweza kuhatarisha Mimba yako na matokeo yafuatayo mfano; 1. Mimba Kutoka au kuharibika na hivyo kutojifungua Mtoto wako. 2. Kujifungua Mtoto kabla ya wakati. 3. Kujifungua Mtoto mwenye Uzito wa chini zaidi. 4. Kupungukiwa Damu ktk kipindi cha Ujauzito au hata baada ya kujifungua au Mimba yako kuharibika. MAMBO YANAYOPELEKEA MJAMZITO KUTOKWA NA DAMU. 1.Mimba kutishia kutoka au kuharibika kabla ya kujifungua! 2. Kondo la Nyuma linapojishikiza kwenye Mji wa Uzazi huweza kupelekea kutokwa Damu katika kipindi Cha Ujauzito hususani mwanzoni mwa Ujauzito ambapo hutokea katika siku zile zile ambazo Hedhi ya kawaida ingetokea japokuwa huwa kunakuwa na utofauti na Hedhi ya kawaida Damu hutoka kidogo na kwa siku chache na badae hukata yenyewe. 3. Mimba kutunga nje ya Mji wa Uzazi huweza kupelekea kutokwa na Damu ktk cha kipindi Cha Ujauzito (Arias Stella Reaction) hususani mwanzoni mwa Ujauzito chini ya wiki 12 za Ujauzito kutoka na Upungufu au uzalishwaji mdogo wa Homoni ya Progesterone ukilinganisha na Mimba ya kawaida. 4. Mimba Zabibu, Mimba Zabibu kwa kawaida huwa lazima iharibike au itoke baada ya muda fulani wa Ujauzito hususani mwanzoni mwa Ujauzito (Chini ya wiki 16) hivyo huwesa kupelekea kutokwa na Damu katika kipindi cha Ujauzito. 5. Sababu zisizo Julikana, kuna baadhi ya Wajawazito hutokwa na Damu bila kuwa na sababu zinazojulikana au zinazopelekea kutokwa Damu katika kipindi cha Ujauzito. KUMBUKA: Asilimia nyingi ya Wanawake wanaotokwa na Damu katika kipindi cha Ujauzito hujifungua Salama Watoto wao. Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.    / drmwanyika   Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.   / dr._mwanyika   Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://mamaafya.com/ Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.   / japideafya   Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://play.google.com/store/apps/de... ©Dr.Mwanyika #drmwanyika #mamaafya HedhiKtkUjauzito

Comments

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5