У нас вы можете посмотреть бесплатно MAJAMBAZI WAPORA MILIONI 54 NA KUJERUHI TUNDUMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI: Watu watatu wanaodaiwa kuwa majambazi wakiwa na pikipiki wamemjeruhi kwa risasi maeneo ya kiunoni Bwana Yengo Mwapina na kumpora shilingi milioni 54 mkoani Songwe. Tukio hilo limetokea mnamo Februari 4, 2026 majira ya saa nne asubuhi katika eneo la Kisimani, mhanga huyo alipokuwa akitoka benki moja mjini Tunduma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, SACP Augustino Senga, amethibitisha kuwa watuhumiwa walifanikiwa kutoroka eneo la tukio mara baada ya uporaji huo. Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kina pamoja na msako mkali katika maeneo mbalimbali ili kuwatia mbaroni waliohusika na unyama huo. Kwa sasa, Bwana Mwapina amekimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe kwa ajili ya matibabu ya majeraha ya risasi aliyoyapata. Hali ya usalama imezidi kuimarishwa mjini Tunduma huku wananchi wakihimizwa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi kuwabaini wahalifu hao. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg