У нас вы можете посмотреть бесплатно RC CHALAMILA - MILIONI 100 KUTOLEWA IST FESTIVAL MKOA WA DSM или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametangaza kwa furaha juu ya tamasha kubwa la IST Festival litakalofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari mwaka huu. Chalamila ameeleza kuwa tamasha hilo, limeandaliwa kwa lengo la kuwaleta pamoja wapenzi wa magari ya Toyota IST na wakazi wa mkoa kufurahia burudani na shughuli za kijamii. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dsm, RC Chalamila amesema kuwa IST Festival, yenye kaulimbiu ya “Vimba na Gari Yako”, itakuwa sehemu ya kuwatambua wamiliki wa Toyota IST waliojibrand zaidi. RC Chalamila amesisitiza kwamba tamasha hilo pia litakuwa na huduma za afya kama uchunguzi wa moyo kwa ushirikiano na taasisi za afya, na kutumika kama fursa ya kuwaleta pamoja wakazi wa Dsm baada ya kipindi cha uchaguzi kupita. Shilingi milioni 100 zitatolewa kwa washindi watakaoshiriki mashindano mbalimbali katika tamasha hilo.