У нас вы можете посмотреть бесплатно MBINU ZA KUONGEZA KIPATO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika maisha haya kili siku ili kukabiliana na mfumuko wa bei na kujiongezea kipato unahitaji maarifa. Katika kitabu hiki mwandishi ametupatia mbinu msingi ili kuongeza kipato chako, ameongezea kutufundisha namna ya kutunza na kuwekeza. amezungumzia kupanga bajeti, sheria kubwa nne za fedha amegusia pesa ilikojificha zaidi ametuongezea na namna ya kuweza kupata mtaji. mbinu za kuongeza kipato ni kitabu ambacho kila mtu anapaswa kukuisoma ili kujiongezea maarifa na kupata vitegauchumi vipya. karibu tujifunze pamoja. Nakuhimiza kutafuta nakala yako kupitia Timiza malengo Bookshop. Na mchambuzi wako, Japhet Katana WhatsApp+255745746691