У нас вы можете посмотреть бесплатно TANROADS YAAGIZWA KUWEKA MAGETI MAENEO INAPOKUTANA RELI NA BARABARA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Naibu waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuhakikisha wanajenga mageti ya kisasa kwenye maeneo ambapo barabara inakutana na reli ili kuzuia ajali zinazoweza kuepukika katika maeneo hayo. Kasekenya, ametoa agizo hilo Mei 26, 2024 wakati akikagua mradi wa ujenzi wa barabaara ya Mikumi - Kidatu- Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara (Km 66.9) kwa kiwango cha lami pamoja na ujenzi wa Daraja la Ruaha Mkuu na kusisitiza TANROADS kuwasiliana na TAZARA ili kulifanyia kazi suala hilo mara moja.