У нас вы можете посмотреть бесплатно Kampuni ya kusafirisha watu katika nchi ya Umrah-Saudia yajitokeza kukana madai kilaghai watu. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kampuni ya kusafirisha watu katika nchi ya Umrah nchini Saudia imejitokeza na kukana madai yaliyoibuliwa na baadhi ya wateja wake kwamba kampuni hiyo imekuwa ikilaghai watu. Mkurugenzi wa kampuni hiyo Ustadh Omar Athman amesema kuwa baadhi ya wateja waliositisha safari zao na kudai kulipwa tayari walikua wameanza kupokea malipo yao kulingana na mkataba wa maelewano. Athman aidha amedai kuwa baadhi ya wateja wanaotaka kusafiri watasafirishwa kwa awamu huku akisema kuwa amekuwa akisafirisha watu kwa muda mrefu akitaja madai ya utapeli kama ya kumharibia jina. Kwa upande wao baadhi ya waliokosa kusafiri wamedokeza washapokea pesa zao huku wengine mjini Malindi wakichagua kusubiri kusafiri mwezi ujao. Safari ya umra hufanyika kila mwezi kulingana na maadili ya dini ya kiislamu.