У нас вы можете посмотреть бесплатно Otile Brown - Basi (Official 4k Video) 2016 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
New hit single by Otile Brown performing the song Basi. Audio produced and Video directed by Dr. Eddie ©Dreamland Music Entertainment 2016 Lyrics Verse 1 Nahisi siko sawasawa kunakitu kinakosa Kumbe leo sijamuona (I wonder if you feel the same way) Basi naugua na siumwi, chakula kooni hakipiti na silali Hata kwa dawa za usingizi (I wonder if you feel the same way) Na macho yangu yanatamani kukuona, nafsi yangu inakukosa sana Na moyo wangu najawa hofu na uwoga Mali yangu wasije wakanipora Na moyoni nakosa Amani sina, fikra zangu zinakwenda mbali kabisa Ama jiji lishaa ninyang’anya we wangu Ila niwie radhi kama nakuhukumu vibaya elewa yote kisa Kisa mama Chorus Tunatoka mbali nyuma ukumbuke Tunatoka mbali chunga usiniumize Tunatoka mbali nyuma ukumbuke Tunatoka mbali usiniache nijifie Maana nakupenda mpaka basi (Ujue *6) Ujue mama, nakupenda mpaka basi Verse 2 Penzi langu unanihifadhia, heri ungekuwa sincere Oh Je unaniwazanga, maana huku nakufikiria Mi nakupenda kipimo sina, ni bora uwe macho Usije niletea walosaza Kukupenda jukumu langu, sheria kuu Kwenye katiba ya penzi langu Je uko uliko uko vizuri? Mbona simu hushiki? Hivi uko na nani, mnafanya nini? Wasi wasi ninao Chorus Tunatoka mbali nyuma ukumbuke Tunatoka mbali chunga usiniumize Tunatoka mbali nyuma ukumbuke Tunatoka mbali usiniache nijifie Maana nakupenda mpaka basi (Ujue *6) Ujue mama, nakupenda mpaka basi Bridge Waadhi na wasaha ulionipa nazingatia Ila nawe usije jisahau, ukashawishiwa Na watanashati na washika dau… ukanisahau Sije nisusa utaniacha na mengi… Bana nitalia *8 nitalia mama Chorus Tunatoka mbali nyuma ukumbuke Tunatoka mbali chunga usiniumize Tunatoka mbali nyuma ukumbuke Tunatoka mbali usiniache nijifie Maana nakupenda mpaka basi (Ujue *6) Ujue mama, nakupenda mpaka basi