У нас вы можете посмотреть бесплатно TEKNOLOJIA MPYA YA LAMI NYEPESI 'FAST TRACK EMULSION PRIMER C55' YAANZA KUTUMIKA KATIKA BARABARA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakala ya Barabara Tanzania(TANROADS) imeanza kutumia teknolojia mpya ya lami nyepesi(FAST TRACK EMULSION PRIMER -C55) katika mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje Jiji la Dodoma, hatua inayochukuliwa kama mapinduzi ya kiufundi katika sekta ya miundombinu nchini. Akizungumza wakati wa zoezi la kuanza kutumia lami hiyo, Mhandisi Mussa Mataka,Mkuu wa Kitengo cha Utafiti na Maendeleo TANROADS, amesema C55 ni mchanganyiko wa lami na maji ambao katika mradi huu itamwagwa juu ya tabaka kuu la barabara kabla ya kuwekwa kwa tabaka la mwisho la lami.Tabaka kuu (base course) la barabara hii limejengwa kwa kokoto zilizosagwa (CRR).