У нас вы можете посмотреть бесплатно ''TOENI MILANGO YOTE'' - RC SIMIYU AKERWA na MRADI wa TASAF - UJENZI WA WODI ya WAZAZI MEATU... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
''TOENI MILANGO YOTE'' - RC SIMIYU AKERWA na MRADI wa TASAF - UJENZI WA WODI ya WAZAZI MEATU... Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda ameagiza kuondolewa kwa milango yote pamoja na kufanyika kwa baadhi ya marekebisho katika ujenzi wa Mradi wa wodi ya wazazi katika Zahanati ya Kijiji cha Mwaukoli Wilayani Meatu Mkoani humo. Dkt. Nawanda ametoa maagizo hayo leo baada ya kutembelea mradi huo katika ziara yake, mradi ambao unatekelezwa na mfuko wa maendeleo ya Jamii (TASAF) ukigharimu zaidi ya Milioni 70. Akiwa katika mradi huo, Mkuu wa Mkoa amebaini uwepo wa mapungu mengi Katika ujenzi mradi huo wake ikiwemo fremu za milango na milango yenyewe iliyowekwa kuwa chini ya kiwango. Jishindie Zawadi na Global TV Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV 👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx