У нас вы можете посмотреть бесплатно SHERIA-Nyarugusu AY Choir(Official Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je ni sheria zipi ambazo Yesu alipokufa msalabani ziliishia palepale na zipi ziliendelea?Limekuwa ni swali la watu wengi wakitaka kujua.Kwa ufupi ni kwamba 1.Sheria zote zilizohusiana na kafara na sikukuu za waisrael zilizohusika na upatanisho kwa kutoa kafara wanyama-hizi zilikomea msalabani 2.Sheria za kiutawala zilizohusiana na hukumu mfano mtu kupigwa mawe hata kufa anapotenda dhambi-hizi ziliishia msalabani. 3.Sheria za vyakula(kipi ni safi kwa kuliwa na kipi ni najisi na machukizo kwa Mungu-hizi ziliendelea hata baada ya Yesu kufa msalabani 4.Sheria za maadili yaani amri kumi za Mungu-hizi hazikuishia msalabani,hata Yesu alizitunza. Which laws came to an end when Jesus died on the cross, and which ones continued? This has been a question many people have asked in seeking to understand the matter. In summary: 1. All the laws relating to sacrifices and the Israelite festivals that involved atonement through animal offerings came to an end at the cross. 2. The civil or judicial laws concerning punishment — for example, stoning a person to death for committing certain sins — also ended at the cross. 3. The dietary laws (regarding which foods are clean to eat and which are unclean and detestable before God) continued even after Jesus died on the cross. 4. The moral law, namely the Ten Commandments of God, did not end at the cross; even Jesus Himself observed them. Contact Email:aynyarugusuchoir@gmail.com Phone no:+255768652134 +255755000788 +255757209270  / nyarugusuaychoir  / nyarugusuaychoir_ SONG CREDITS Artist : Nyarugusu AY Choir Lyrics & Composition: Enock Zabron Audio: Kitula Record Studio Phone no:+255764634625 Video: New Era film Video director Crix Phone no:+255785720968 Audio Rights Exclusively by Nyarugusu AY Choir Video Rights Exclusively by Nyarugusu AY Choir All rights reserved by Nyarugusu AY Choir 2026 GOD BLESS YOU