У нас вы можете посмотреть бесплатно MWAMENGO: DAWA YA CHANGAMOTO ZA MAJI, AJIRA NA MIKOPO IMEPATIKANA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MBUNGE wa Jimbo la #Kyela Baraka Ulimboka Mwamengo kupitia kampuni yake ya Basai General Supplied limited ameanzisha mpango maalumu wa kuwezesha Vijana hususani bodaboda kupata mafunzo ya VETA, ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa ahadi zake ya kuwezesha vijana kielimu na utaalamu. Mafunzo hayo ya udereva yameanza kutolewa rasmi tarehe 23.2.2025 kwa Vijana 100 ambayo yatawasaidia Vijana kupata leseni na kushiriki katika fursa mbalimbali zinazojitokeza ikiwemo fursa za ajira ya udereva na kupata mkopo mbalimbali inayotolewa na Halmashauri na taasisi zingine wezeshi. Mwamengo amesema mafunzo hayo ni muhimu kwani yatasaidia kupata Elimu na kuzingatia sheria zote za barabarani, na kupunguza changamoto za ajali, lakini pia yataongeza uwezo wa kifikra kwa vijana. Aidha Mhe. Mwamengo amesema lengo la mafunzo haya ni kutia hamasa ya ujuzi kwa Vijana wa bodaboda, kwani Serikali inatambua umuhimu wao katika kukuza uchumi wa Taifa.