У нас вы можете посмотреть бесплатно Kelsy Kerubo - Barua Yangu (official music video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
LYRICS chorus Barua yangu,Barua yangu kwake, Rafiki yangu tu, Mwandani wa karibu anitosha Yeye chanda mimi pete Simwitaji mwingine,anitosha Hallo hallo,nataka niseme kuhusu penzi lake Stanza 1 Anisaidiaye shidani kweli, Ndiye wangu mwandani ananipenda.. Machoni hayupo lakini moyoni amepiga kambi Bwana, ananifaa Yeye kinoo kwangu mimi wembe sijampata anayenipenda,nimeridhika.. Ama kweli upendo wake Ameutoa kwangu mimi anishangazaa.. Stanza 2 Siachi kujishaua mimi maana alinipenda wa kwanza, Na-nikamwamimi, Imani yake kwangu nakusudia izidi zaidi na sana, Barua ya Moyo wangu Ndani amewasha taa.. Ananiangazia kote kote ananifaa.. Alokusudia mimi mwanadamu katu katu Hatozuia kalamu yake hujiri Follow me on my other social media platforms; Instagram; kelsy_kerubo⏬ / kelsy_kerubo Facebook &Twitter @Kelsy Kerubo contact me on email @kelsykerubo5@gmail.com kindly subscribe to my channel🙏❤❤ Thank you for your endless support! God bless you🙏😊