У нас вы можете посмотреть бесплатно ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi" Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ameambia serikali kuwa inapanaga kutekeleza miradi mikubwa ili hali haina pesa ya kutekeleza miradi hiyo ambayo ameielezea kuwa ni gharama kubwa. Tupate taarifa kamili kutoka kwa Catherine Kahabi….. Akichangia hotuba ya Bajeti ya ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Zitto amesema kuwa licha ya kujigamba kuwa serikali ina uwezo wa kujenga mradi huo lakini ukweli ni kwamba haina pesa ya kufanya miradi hiyo. Awali akitolea ufafanuzi suala hilo waziri wa Ardhi, nyumba na Maendeleo ya makazi William Lukuvi amesema, suala la ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa stiglers linamanufaa makubwa kwa taifa. iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .