У нас вы можете посмотреть бесплатно RUWASA MANYARA YAANZA AWAMU YA 3 YA MRADI WA MAJI WA BIL.1.6 KATIKA VIJIJI 7 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali kupitia Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Manyara imeanza kutekeleza awamu ya tatu ya mradi wa maji katika vijiji saba wilayani Hanang kwa lengo la kutatua changamoto za upatikanaji wa maji safi na salama. Mradi huo unalenga kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji vijijini, kupunguza umbali wa wananchi kufuata maji ambapo zaidi ya wananchi 25,000 katika kata ya Gehandu na Mogitu watafikiwa na huduma za maji safi na salama..