У нас вы можете посмотреть бесплатно WANANCHI WAIPONGEZA TANROADS MOROGORO KWA KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA WILAYANI MALINYI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baadhi ya wananchi katika Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro wameipongeza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kuendelea na kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya barabara na madaraja ambayo imeathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali. Wamesema kuwa mvua zinazoendelea kunyesha katika mkoa huo zimesababisha maji kupita juu ya barabara na kusababisha mmomonyoko katika kingo za barabara na baadhi ya makalvati na madaraja hivyo kuathiri miundombinu hiyo iliyopelekea shughuli za kiuchumi kusimama kwa muda.