У нас вы можете посмотреть бесплатно ECHOES OF VICTORY TZ|| KIMBILIO|| OFFICIAL VIDEO|| 2025 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KIMBILIO || ECHOES OF VICTORYTZ || OFFICIAL ACCAPELA VIDEO || 2025 --- Zaburi 46:1 "Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. God is our refuge and strength, a very present help in trouble." ABOUT THE SONG "Kimbilio" is a spiritually uplifting acapella offering from Echoes of Victory Tz, echoing Psalm 46:1. "Tunapitia nyakati za mafanikio na changamoto, nyakati za kukata tamaa na kupotea gizani- licha ya yote hayo MUNGU anatambua Hali halisi tuliyonayo, MUNGU anahitaji tutambue nafasi yake katika maisha yetu, yeye anatupenda hivyo tumtukuze maana ametenda mengi katika maisha yetu, Nami naungana na Echoes of Victory Tz kukutia moyo kwamba katika Hali yoyote uliyonayo, mfanye KRISTO awe KIMBILIO lako, katika Hali za furaha au huzuni, tambua nafasi yake katika maisha yako". Na Mtunzi, Bright Mrikalia. In moments of fear, loss, or trouble—there is a place we run to. A name we call on. A presence that never fails. “ KIMBILIO” is a song of hope, reminding us that God is our Refuge and Strength, always ready to help in times of trouble. LYRICS Verse Mungu wetu ni KIMBILIO na NGUVU, Msaada utakaoonekana wakati WA shida, Wala hatutaogopa yu nasi, Atatushindia kwa UWEZO wake. Chorus Hakuna mwingine WA Kupewa sifa ila WEWE MUNGU Muumbaji, Unayotenda ni mengi KATIKA maisha yetu, Unastahili kuabudiwa na kutukuzwa, Utadumu Milele kuwa Muumbaji. Solo MUNGU wetu anatupenda, anatuita kwake, Kwa sauti ya upole njoo kama ulivyo, Atatupokea mikononi mwake, Fanya hima usichelewe – Anangoja. ------------------------ SONG CREDITS Artists : Echoes of Victory Tz Lyrics & Composition: Bright Mrikalia on 28th Dec 2023 Female solos: Dorine Marco & Lenista Elieth Male solo: Bright Mrikalia Vocal arrangement: Bright Mrikalia Audio recording: Pro Isack Thadeo Mixing and mastering: BJ Brand Studio, (Pro Bwanga) Video Credits: Director Yoress Graphics &Designing: Rajax creatives Location: SUA SDA MEDIA STUDIO SPECIAL THANKS,to Pro Bwanga for the beautiful arrangement and mixing, BJ Brand Studios for audio production, and Director Yoress for the exceptional video direction. We deeply appreciate Bright Mrikalia for writing this powerful song and Echoes of Victory TZ for their heartfelt performance. Gratitude to our church and our Spiritual Mentor, Dr. Ezekiel Kulwa and all supporters for their prayers and encouragement. Above all, glory to God our true "Kimbilio" for His strength and grace throughout this journey. Audio rights &video rights: Exclusively owned by Echoes Of Victory Tz, 2025 English subtitles: Shown on the video. All rights reserved by Echoes of Victory Tz, 2025 For inquiries, please contact us at; +255 765 722 066 +255 615 946 936 +255 629 581 801 ------------------------ 🔗 Connect with Us Email: echoesofvictorytz@ gmail.com Ticktok: Echoes of Victory Tz Instagram: @echoesofvictoryministry Threads:echoesofvictoryministry YouTube: Echoes of Victory Tz ----------- Be Blessed – Be a Blessing If this song touched your heart, please: 👍 Like | 💬 Comment | 🔁 Share | 🔔 Subscribe Tag someone who needs to be reminded that they are never alone. Let “ Kimbilio ” be a shelter to your soul. #accapella #kimbilio #echoesofvictorytz #bilashaka #sdasongs #sdamelodies #gospelmusic