У нас вы можете посмотреть бесплатно Mt. Kizito Makuburi - Tubaki na Nchi ya Haki (Official Music Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Amani ni Tunda la Haki (Yak. 3:18). Kazi ya haki ni kuleta amani (Isa. 32:17) Pasipo Haki, hakuna Amani. Furaha na upendo ni matunda pacha na amani (Wagalatia 5:22) Mama Kanisa anatutuma kama Taifa kusimama pamoja na Kuomba Haki ikatawale nchini mwetu, na Amani itokanayo na hiyo Haki, hasa kipindi hiki tunapoelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania. Haki Itamalaki, Haki itawale, Haki ishinde kila kitu. Tuungane pamoja kwa Imani kama Taifa kusali tukimuomba Mwenyezi Mungu atusikie na Atende sawa sawa na mapenzi yake. WIMBO : TUBAKI NA NCHI YA HAKI WAIMBAJI : KMK MAKUBURI MTUNZI : BERNARD MUKASA KINANDA : VINNY MUKASA AUDIO : HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO : BUGATI STUDIOS SUBTITLES : DICKSON NYAMWIHULA MUSIC NOTES (NOTA) https://www.kmkmakuburi.co.tz/pdf/Tub...