У нас вы можете посмотреть бесплатно Polisi wawasaka wauaji wa Mary Wambui walionaswa na cctv или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Maafisa wa uchunguzi wanawatafuta watu wawili wanosemekana kuwa pahala ambapo mary wambui, mkaazi wa Kiambu aliuliwa siku ya jumamosi. Maiti yake ilipatikana katika bwawa moja katika eneo la Muguthe mjini juja na jeraha kwenye kichwa siku ya jumapili na siku moja baada ya kusemekana kuwa amepotea.Washukiwa wawili akiwemo mume wake Joseph Kori na mwanamke mmoja Judy Wangui wamekamatwa, na wanatarajiwa kusalia korokoroni kwa siku zingine 12 ili uchunguzi uendelee Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke / citizentvkenya / citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya / citizentvkenya