У нас вы можете посмотреть бесплатно #TAZAMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa watanzania hususani wazawa wa Mkoa wa Kigoma kuchangamkia fursa za uwekezaji zilizopo katika mkoa huo ili kuchochea ukuaji wa uchumi. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akifungua Hoteli ya Kisasa ya Bwami Dubai ambayo imegharimu bilioni 1.6 iliyojengwa na mzawa wa Kigoma Evance Chocha katika Wilaya ya Kasulu mkoani humo. Amesema serikali inatambua mchango wa wazawa na wageni kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi katika kuchochea maendeleo ya mkoa wa Kigoma na Taifa kwa ujumla. Kwa upande wake Mkurugenzi wa Hoteli ya Bwami Dubai , Evance Chocha amesema uwekezaji wa hoteli hiyo umechagizwa na sera za serikali ya awamu ya Sita chini ya Chama cha Mapinduzi. Katika hatua nyingine akipokea changamoto mbalimbali za wananchi wa Wilaya ya Kasulu, Makamu wa Rais ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kuharakisha uwekaji mipaka katika hifadhi ya Kagerankanda ili kuepusha migogoro inayojitokeza baina ya wananchi na hifadhi. Pia Makamu wa Rais ametaka kumalizika kwa tatizo la maji na umeme katika baadhi ya vijiji Mkoani humo. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09