У нас вы можете посмотреть бесплатно SAKATA LA ARDHI CHEMBA, KITETO LAZUA MJADALA, SPIKA ATOA NENO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DODOMA: MJADALA mzito umeibuka bungeni leo Januari 29 wakati Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geofrey Pinda alipoliambia Bunge kuwa malalamiko ya wananchi 1,000 wa kata za Mrijo na Jangalo yalishafanyiwa kazi na Serikali kupitia Ofisi za Wakuu wa Wilaya za Chemba na Kiteto mwaka 2015/16 na mwaka 2023 ambapo eneo wanalodai wananchi kuwa ni ardhi yao kwa ajili ya kilimo lilishabainishwa kuwa lipo Wilaya ya Kiteto, Mkoa wa Manyara. Majibizano hayo yaliingiliwa kati na Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson kufuatia swali lililoulizwa na Mbunge wa Chemba, Mohamed Lujuo Monni aliyetaka kujua lini mashamba hayo yatarudishwa kwa wananchi ili kazi za kilimo ziendelee. Imeandaliwa na Adam Lutta Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09