У нас вы можете посмотреть бесплатно Waumini wa kiislamu wahimizwa kuwakuza watoto kwa maadili mema или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakuze watoto wako kwa kuwafunza maadili mema: Huo ndio ulikuwa ujumbe kwa waumini wa dini ya Kiislamu huko Likoni walipokuwa wakiadhimisha Ijumaa ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhan. Seneta maalum Miraj Abdillahi alisema wazee na viongozi wa kidini katika jamii wanafaa kudumisha nidhamu miongoni mwa vijana ambao wametekwa na wimbi la uhalifu. Abdillahi alisema mwezi wa Ramadhan unatoa fursa kwa muumini wa Kiislamu kueneza ujumbe wa amani na upendo na kwamba wazazi wanafaa kutumia mwezi huu kuwafunza watoto wao maadili mema. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.fa6ebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #railaodinga