У нас вы можете посмотреть бесплатно ZIITE BARAKA ZAKO KWA MAOMBI HAYA KILA SIKU!!!! ISAYA 60:11 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#baraka#isaya#maombi#utajiri Isaya 60:11 '' Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku; Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa, Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao.'' Katika ulimwengu wa roho baraka zako zote huwa ziko katika maeneo ambapo ili upate baraka yako uitakayo unatakiwa kubisha kwenye ulimwengu wa roho wa nuru ili ufunguliwe na kuchukua baraka yako, ndio maana katika maombi imani ni jambo la muhimu sana. Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana sasa wokovu wetu uko karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini "Warumi 13:11" Maarifa ya Ki-Mungu @SIRI ZA BIBLIA www.sirizabiblia.com +255 758 708 804 https://linktr.ee/sirizabiblia Instagram Account / siri_za_biblia SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI: M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI