У нас вы можете посмотреть бесплатно Hasira Kwanza! Wakazi wa Sikulu B Wavamia DCC Kudai Shamba la Umma Lilinyakuliwa 🔥🏫 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakazi wa kijiji cha Sikulu B, Wadi ya Kwanza, Kaunti ya Trans Nzoia wameshika headlines baada ya kufanya maandamano ya amani katika ofisi ya DCC Kwanza Sub-County kudai haki. Wanadai kuwa bwanyenye mmoja, ambaye pia ni mchungaji wa kanisa la UPEC, amenyakua kipande cha ardhi kilichokuwa kimetengwa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa shule ya umma. Inadaiwa kuwa mchungaji huyo ameendeleza ujenzi wa kanisa pamoja na shule binafsi bila kufuata taratibu za kisheria. Wakazi wamelalamika kuwa ardhi hiyo sasa inatumiwa kwa manufaa binafsi, ikiwemo kukodishwa, jambo ambalo wanalaani kama unyanyasaji wa haki za jamii. Wakati maandamano haya ya amani yanapoendelea, wakazi wanatoa wito kwa serikali kuingilia kati haraka, kuchunguza sakata hili, na kurejesha ardhi hiyo kwa matumizi ya umma kama ilivyokusudiwa awali. Angalia video hii kujua jinsi wakazi wanavyopigania haki yao na hatua zinazochukuliwa na mamlaka za serikali. Usisahau ku-like, comment, na subscribe kwa habari zaidi kutoka Trans Nzoia! #BreakingNews #TransNzoia #KwanzaWard #HakiKwaWananchi #MaandamanoYaAmani #EkadeliMedia