У нас вы можете посмотреть бесплатно Roho Mtakatifu Urithi wetu, vizazi hadi vizazi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Roho Mtakatifu Urithi wetu, vizazi hadi vizazi Shalom wana na Urithi wa Mungu Baba katika Kristo Yesu, mnaotembea katika majira na nyakati ya Bwana katika kipindi hiki mkifunuliwa jinsi ulivyo utajiri wa namna nyingi wa Urithi wetu katika Kristo. Tunapenda kukukaribisha mezani leo Kijiweni na Roho Mtakatifu tukiwa tumekuletea Ushuhuda wa mwana wa Mungu katika kipindi hiki cha mfungo tukiwa katika tunajifunza kuhusu LAW OF SHIFT. Karibu kujengwa na kuimarishwa kwa maarifa ya Ufalme ya kizazi hata kizazi. Tunazidi kufurika katika shukrani kwa kujitoa kwenu kwanza kwa Bwana na pia kwetu sisi katika maono haya ya Kijiweni na Roho Mtakatifu kwa namna mbalimbali. Pia tunakaribisha Ushuhuda wako mwana wa Mungu jinsi ulivyotembea na Roho wa Kristo katika kipindi hiki cha UWEPONI MWA ABBA(BABA). Mmebarikiwa sana. #Kijiwe ni kimoja tu, Kijiweni na Roho Mtakatifu. “Tulio na Mungu, tuna Roho wa Mungu.”