У нас вы можете посмотреть бесплатно HII NDIYO VIDEO ILIYOMPONZA LISSU NA KUJIKUTA AKIKAMATWA NA POLISI? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu, alielezwa kukamatwa Jumatano, Aprili 09, 2025, mkoani Ruvuma, muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara uliokuwa sehemu ya kampeni ya chama chake ya "No Reforms No Election" na harambee ya kuchangia chama kwa jina la Tone Tone. Taarifa rasmi kuhusu sababu ya kukamatwa kwake bado hazijatolewa na vyombo vya dola, lakini mjadala umeibuka mitandaoni miongoni mwa wachambuzi wa siasa na wananchi, wakihusisha tukio hilo na kauli aliyoitoa siku chache kabla ya tukio hilo. Kauli hiyo, iliyotolewa Aprili 3, 2025, katika mkutano wa ndani wa CHADEMA wa kitaifa uliohudhuriwa na viongozi wa chama na watia nia wa ubunge kutoka majimbo mbalimbali nchini, inatajwa kuwa huwenda ni miongoni mwa sababu zinazochochea tafsiri Lissu kukamatwa. ITV Digital tunaendelea kufuatilia sakata hili na tunaamini vyombo vya dola vitatoa taarifa rasmi na sababu za kumshikilia Lissu. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg