У нас вы можете посмотреть бесплатно Sakata la wanafunzi wa sheria kufeli Law School latua bungeni, sababu zaanikwa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya ameitakka Serikali kufanya utafiti kuhusu mtaala wa sheria wa Law School kwani kutokana na utafiti aliofanya amebainisha yawezekana kufeli kwa wanafunzi hao kunatokana na mambo matatu ikiwemo vyuo wanavyotoka kutofautiana, kusoma masomo mengi kwa muhula wa masomo pamoja na utoaji wa matokeo ya mitihani na majaribio kuchelewa Dk Chaya ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 29, 2024 wakati akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2024/2025.