У нас вы можете посмотреть бесплатно RUVUMA YAJIPANGA KUENDELEZA KILIMO CHENYE TIJA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
RUVUMA YAJIPANGA KUENDELEZA KILIMO CHENYE TIJA Mkoa wa Ruvuma umejipanga kuendeleza kilimo cha kibiashara chenye tija, ambapo mazao ya kipaumbele ni kahawa, korosho, ufuta, soya, mbaazi, parachichi, tangawizi, mahindi pamoja na mazao mengine ya nafaka. Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Jumanne Mwankhoo, amesema hayo wakati akifungua mafunzo kuhusu miongozo ya uzalishaji endelevu wa mazao ya ufuta na mikunde kwa wataalamu wa kilimo wa mkoa. Mafunzo hayo yametolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) katika ukumbi wa Chandamali mjini Songea.