У нас вы можете посмотреть бесплатно BILA UOGA ASKOFU BAGONZA AFICHUA CHANZO CHA MAANDAMANO NA VURUGU OCTOBER 29, 2025 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Bishop Bagonza amevunja ukimya kuhusu hali ya Sasa ya Tanzania na hadi tumefikia hapa. Baada ya Uchaguzi wa October 29, 2025 ambapo taifa la Tanzania Limefanya Uchaguzi wa Kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Vurugu siku na Baada ya Uchaguzi ambapo Maelfu ya Vijana wa Tanzania walipoteza maisha na wengine Kujeruhiwa kutokana na maandamano makubwa yaliyotokea siku ya Uchaguzi. Askofu Bagonza amevunja ukimya na Kuchambua sababu zote kwanini tumefika hapa, Nini sababu au kilichopelekea vijana kuandamana. Unaweza pia ukatuachia maoni yako unadhani kwa mtazamo wako kipi kimepelekea maandamano na Vurugu siku ya uchaguzi October 29, 2025 #maandamano #bagonza #uchaguzimkuu2025 #uchaguzimkuu