У нас вы можете посмотреть бесплатно Tazama Kiwanja cha Ndege Dodoma, Zimamoto Walilivyofanya Zoezi la Utayari la Uokoaji или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kiwanja cha Ndege cha Dodoma kimefanya zoezi la utayari la uokozi , likihusisha ndege yenye usajili namba 5H-ZULU SIERRA ya kampuni ya Tango Aviation iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma, ambapo ilikumbwa na tatizo la kukwama kwa magurudumu wakati wa kutua kwa ndege hiyo, (leanding gear), hivyo kusababisha kutua kwa tumbo na kulipuka. Akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufanyika kwa zoezi hilo, Msimamizi wa Kiwanja cha Ndege Dodoma, Clemence Jingu, amesem, kwa mujibu wa taratibu za Sheria ya Viwanja vya Ndege kifungu namba26, sheria namba 8 ya mwaka 2024, mamlaka ya viwanja vya ndege imepewa mamlaka ya kuandaa na kufanya mazoezi ya kujitayarisha na kuokoa pindi inapotokea ajali za ndege katika viwanja vya ndege. Hata hivyo, amewatoa hofu wananchi wa Dodoma kuwa, haikuwa ajali kama inavyoonekana, bali ni majaribio.Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.