У нас вы можете посмотреть бесплатно "DR. PRINCE KATEGA II: MWAFRIKA ALIVYOSALITI ASILI YAKE KWA LANGO LA BAGAMOYO" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tupo Bagamoyo, lango kuu la historia ambapo Ukristo uliingizwa rasmi Tanzania na Afrika Mashariki kupitia wakoloni. Dr. Prince Katega II anafichua ukweli kuhusu namna tulivyokaribisha dini bila kuelewa kuwa ilikuwa ni mkakati wa kutupora asili, ardhi, na nafsi. Je, ni wakati sasa wa kurudi kwenye hekima za mababu zetu? Tazama video hii ya kipekee iliyojaa historia na tahadhari ya kiroho. Karibu kwenye UKOA (United Kingdoms of Afrika) – jukwaa la kipekee linaloangazia tambiko, uongozi wa asili, uponyaji wa kiroho, na sauti za kweli za viongozi wa jadi, UKOA ni mwamko wa kiroho na kijamii kwa Afrika. Tunarejesha hadhi ya Mila, Viongozi wa Asili, na Upatanisho wa Mataifa. *Subscribe* ili kuwa sehemu ya mabadiliko. *Toa maoni yako kwa uhuru.* *Share kwa ndugu zako wa bara la Afrika.* #UKOA #Tambiko #PrinceKatega #UmojaWaMachifu #UnitedKingdomsOfAfrika #JalimudaEntertainment #Bagamoyo #PrinceKategaII #HistoriaYaAfrika #DiniNaUkristo #AsiliYaMwafrika #UkomboziWaFikira #JalimudaEntertainment #AfrikaInazinduka