У нас вы можете посмотреть бесплатно TANESCO YATANGAZA MGAO WA UMEME или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Shirika la Umeme nchini TANESCO, limetangaza kuwepo na mgao wa Umeme kwa muda wa Siku 10 kwenye Baadhi ya Maeneo, kutokana na marekebisho kwenye Bomba la kusafirisha Gesi kutoka Songo Songo. Kulingana na mkurugenzi mkuu wa Shirika hilo Maharage Chande, mgao huo wa Umeme unatarajia kuanza Februari Mosi hadi 10 mwaka huu ili kupisha maboresho hayo. "Marekebisho haya ni muhimu kufanyika katika Bomba la Kusafirisha Gesi ili kuongeza uwezo wa kuzalisha nishati hiyo ili ikidhi mahitaji ya Watanzania" amesema Chande. TANESCO YATANGAZA MGAO WA UMEME WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm TWITTER: / wasafitv || / wasafifm FACEBOOK: / wasafitv 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm