У нас вы можете посмотреть бесплатно POLISI SINGIDA YAJIIMARISHA KULINDA RAIA MSIMU WA KRISMAS ,MWAKA MPYA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika kuelekea msimu wa sikukuu za Chrismass na mwaka mpya, jeshi la polisi Mkoni Singida limewataka madereva, watumiaji wa barabara wananchi pamoja na kumbi za starehe kuhakikisha wanakuwa watulivu kwa kuzingatia sheria zilizopo ili kuhakikisha sikukuu huzo zinapita pasipo na matukio ya uvunjifu wa sheria Akizungumza na mara baada ya kutembelea kituo kikuu cha mabasi kilichopo Misuna Mkoani Singida, kamanda wa Polisi mkoa huu kamishna msaidizi wa polisi SACP. Amon Kakwale amesema jeshi hilo limejipanga vyema kuwachukulia hatua za kiesheria hususan madereva wa mabasi na kuwapima kabla ya kuanza safari. Kindai Plus ni television ya mtandaoni inayotoa maudhui ya habari,michezo,burudani,siasa na matukio ya kijamii yanayojili duniani USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU.