У нас вы можете посмотреть бесплатно KIFO CHA MBUNGE CHADEMA: Spika Katoa Taarifa Rasmi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KWA UCHUNGU: Naibu Spika Aahirisha Bunge Leo Kufuatia kifo cha MBUNGE wa Jimbo la Buyungu, wilayani Kakonko Mkoani Kigoma kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kasuku Samson Bilago, Spika wa Bunge, Job Ndugai ametoa taarifa rasmi ya Bunge juu ya kifo hicho. Taarifa hiyo imesomwa Bungeni na Naibu spika wa Bunge, Tulia Ackson, ambapo pia ameahirishwa kikao hicho cha siku ya leo Mei 28, 2018 na kusema siku hii waitumie kwa ajili ya maombolezo ya kifo cha mwenzao. Aidha kikao cha pamoja baina ya Tume ya Utumishi wa Bunge na Kamati ya Uongozi ya Bunge kimefanyika leo na kukubaliana kuwa, mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buyungu, Marehemu Kasuku Samson Bilago utapelekwa Bungeni jijini Dodoma siku ya Jumanne Mei 28 kwa ajili ya wabunge kutoa heshima zao za mwisho. lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .