У нас вы можете посмотреть бесплатно NGUVU YA USHUHUDA BINAFSI WA BWANA WETU YESU KRISTO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SHALOM.. SHALOM.. NENO LA LEO: Nguvu ya Ushuhuda Binafsi wa Bwana Wetu Yesu Kristo Ushuhuda binafsi wa Bwana wetu Yesu Kristo hubadilisha maisha kwa namna ya kipekee. Si hadithi tulizosikia tu, bali ni kukutana naye kwa moyo na roho. Tunapomjua Kristo kwa uzoefu wa kibinafsi, imani yetu huimarika, matumaini yetu huongezeka, na maisha yetu hubadilishwa kabisa. Kama ilivyoandikwa katika Waraka wa Wafilipi 3:10: “Nimtambue yeye na uweza wa kufufuka kwake.” Huo ndio wito wetu — kumjua Yesu si kwa maneno tu, bali kwa uzoefu wa kweli unaoleta ushuhuda hai. Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako NBC Bank. Acc: 011103009498 Jina: Kanisa La Pentekoste Tanzania #ibadayajumapili #ChurchOnline #WorshipLive